Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(350,000X6)KIMARA KOROGWE BAJAJI 500 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI LAKI TATU NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA 
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 500 UKISHUKA DK 5 KWA MIGUU
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA 
#KIMOJA MASTER 
#SEBULE 
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI 
#HEATER 
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM PARKING SPACE IPO ZIPO APARTMENT MBILI TU NDANI YA FENCE 
#UMEME UNAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI 
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA ELFU KUMI NA TANO MALIPO YA MIEZI KWA DALALI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















