Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA KABISA ZINA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
KODI 300,000X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LINAWEKWA KABATI
PUBLIC TOILET YA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
MAZINGIRA YA NNJE KUNAPIGWA ZEGE KOTE
UMEME WAKO
MAJI MITA YAKO
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
NYUMBA HIZI ZITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA TAREHE 5/5/2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUONA NYUMBA HII SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
#0785889413🔥🔥