Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NILAKI 350,000 X3,4,5,6 
APARTMENT KALI SANA 
NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI. 
VYUMBA 2 VYA KULALA  VIKUBWA KIMOJA MASTER BEDROOM 
SEBLE YA WASTANI 
JIKO KUBWA LA KISASA
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW 
LUKU YAKO 
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA 
SERVICE CHARGE 20/=
KODI 350,000X3,4,5,6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU
SIMU 0659336751 WSP 0786085637




















