Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA KIMARA TEMBONI
UMBALI DAKIKA 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA SANA
KODI 400,000X6
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TU
NA HII MOJA IPO WAZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343