Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK15 KUTOKA LAMI KWA MIGUU
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Paving block safi
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=ร6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
---------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐