Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#HAKUNA MASTER
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI
O677370515
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAAZARI YA MWEZI MMOJA