Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA
-----
Vyumba 2 vua kulala master bedroom
Seble kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-----
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000x6
Malipo ya dalali ya mwezi 1
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐
0713661530_0783661530



















