Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
KODI 270,000X6
LOCATION:KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
BAJAJI 700
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA SANA
CHOO CHA FAMILIA
CHA NDANI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
HAIPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
###0655256419