Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 350K X6
ZIPO APARTMENT MBILI TU NDANI MOJA KATI YA IZO IPO WAZI
KODI LAKI TATU NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA HAPA
LOCATION
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NJIA NI RAFIKI MPAKA KWENYE NYUMBA
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#BAFU NDANI
#FULL A.C
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637