Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
APARTMENT MPYA KABISA ZIKO NNE TU #MPYAA
#LOCATION KIMARA BARUTI KLM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI 500BTU UKISHUKA DK 3 UPOGENITINI BODA BUKU MPAKA GETINI
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0716 776247
0754 221168