Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 500K MALIPO MIEZI X 6
LOCATION KIMARA KOROGWE ๐ KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2
USAFIRI UPO MASAA 24 BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 5 KWA MGUU
SIFA ZAKE ๐
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO FULL MAKABATI
TOILET BUPLICE NDANI
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
DILISHA ALUMINIAMU
PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
BALABALA YA GARI RAFIKI KWA GARI ZOTE
KODI 500,000 MALIPO MIEZI X 6
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA๐ค
##0655256419