Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KAMA UNA MTEJA ANATAK NYUMBA YA KUTEMBEA
KIMARA SUKA
DK 10 KWA MGUUU NICHEKI FASTAAA
NYUMBA MPYAAA MPANGAJI ANATOKA JUMATATU NA FAULISHAA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
JIKO
PUBLIC
SEBULE
UMEME WAK
MAJI YAKE
NDANI YA FENSI
BEI NI 350,000 KWA MWEZI
NYUMBA NZURI KUBWAAA MPANGAJI ANA HAMA JUMATATU ILA KUONA SAHV NGUMU BALI MUWEKE MTEJA