Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA #KIMARA_TEMBONI (DSM)๐น๐ฟ
====================
#VYUMBA VIWILI
#VYOTE MASTER VIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO LA NJE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
*NYUMBA NDANI YA FENSI KUBWA UNALAZA HATA MAGARI 10 UMEME MAJI MITA YAKO
*NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA2.5 BAJAJI
1000
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO(DSM)๐น๐ฟ
USAFIRI UPO NI BODA 1500 BAJAJI 1000 UKISHUKA UNATEMBEA DKK2
*KODI NI TSZ 250000/= KWA MWEZI
_________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI
PIGA SIMU
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
#0785889413๐ฅ๐ฅ
____________________