Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA STOPOVER DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA.
-SEBULE KUBWA
-DINNING KUBWA
-VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
-PUBLIC TOILET
-JIKO KUBWA FULL MAKABATI
-STOO
-PARKING KUBWA
-PEVING BLOCK
KODI NI 400,000 ILIPWE MIEZI 6
ITAKUWA WAZI TAREH 17.7.2025.
MPANGAJI ANA AMIA KWAKE.
➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343