Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 250000X6
_______
APATIMENTI ZIPO KIMARA TEMBONI KAMA UNATOKA MJINI KUSHOTO
_______
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2 POINTI 5
SIFA YA NYUMBA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE JIKO
CHOO NI
PABILIKI
_______
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1500
_______
UMEME MAJI INAJITEGEMEA
______
ZIPO NYUMBA MOJA MPYA
______
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALIPA KODI YA MWEZI MMOJ
_______
BARABARA INAFIKIKA HADI NYUMBANI ILA AINA FENSI
______
0677445508