Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina makabati
Public toilet
Fill air condition
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 550,000/=ร6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5.5
--------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_kimara๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐