Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X6)KIMARA TEMBONI DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI HII BRBR YA LAMI
UMBALI WA DK 8 MPKA 10 TU KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
=========
✔️VYUMBA VIWILI
✔️KIMOJA MASTER
✔️SEBULE
❌HAKUNA JIKO
✔️CHOO CHA PUBLIC NJE
✔️NDANI YA FENCE
NYUMBA INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING IPO LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
NYUMBA IPO PEMBEZON MWA BRBR YA LAMI KABISA
KUPELEKWA SITE ELF 15
CONTACT
0716223412
0683597453