Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

NDUGU ZANGU HIZI APARTMENT NYUMBA KUPANGA KIMARA TEMBONI
------------------------------------------------------------------------
TAREHE 10/04/2025
------------------------------------------------------------------------
INA VYUMBA VIWILI VYOTE MASTER VIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO LA NJE
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS LUKU NA MITA YA MAJI YA DAWASCO INAJITEGEMEA
------------------------------------------------------------------------
MAHALI ZILIPO NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA2.5 BAJAJI TSH 1000 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO(DSM)๐น๐ฟ BODA 1500 BAJAJI 1000 UKISHUKA UNATEMBEA DKK2
------------------------------------------------------------------------
KODI NI TSZ 250000/= KWA MWEZI MOJA MALIPO MIEZI (6) GHARAMA YA KWENDA KUONA NYUMBA TSH 20,000 TAYALI KULIPIA NYUMBA HELA YA MWEZI MOJA
------------------------------------------------------------------------
NICHEK - +255678370515
What S App---------- +255677379515
KARIBUNI KIMARA YA MWENDOKASI