Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HAKA KANYUMBA KANAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE YA WAYA INAKUWA WAZI TAREHE 30/12/2025 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#JIKO ZURI KUBWA
#HAKUNA MASTER
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE YA WAYA PARKING IPO
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37