Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(450,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
𝗗𝗔𝗞𝗜𝗞𝗔 3 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗨𝗢𝗡𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗜𝗚𝗨𝗨
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMP𝗢UND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#PUBLIC TOILET YA WAGENI
#PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#HAPA ANATAKIWA MPANGAJI MUISLAMU ZINGATIA 𝗛ILO
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝗮𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300