Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA
.
ZIMEBAKI MBILI TU: KODI NI 550,000 KWA KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
LOCATION: KIMARA KOROGWE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA 2 VIKUBWA
KIMOJA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
FULL A/C
MAZINGIRA TULIVU
USALAMA WA KUTOSHA
.
USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN BRBR LAMI MPKA GETIN
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0715949085
0782838336