Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYA SAFIIII SANA...
KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU AU KM 1 BODA 1000/= NA BAJAJI 500 TU...
UKISHUKA KWA BAJAJI DK 2,3 UPO NDANI....
VYUMBA 2 VYA KULALA NA 1 MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWAA NA JIKO NA CHOO CHA PUBLIC NI NJE HAPO HAPO ....
KODI 250,000 Γ 6
UKILIPIA UNAMPA DALALI MWEZI MMOJA
NDANI YA UZIO NUSU ... NO PARKING NA GARI HAIFIKI HADI NYUMBANI...
PAZURI SAAAANAAAAA....
LUKU YAKO NA MAJI YAKO ...
SERVICE CHARGE 15K
#0625606710