Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
INAKUWA WAZI TAR 30.7.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Parking space kubwa
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
------------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏