Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT IZO ZIPO 4 , MOJAWAPO ITAKUWA WAZI MWISHO WA MWEZI INA VYUMBA 2 VYA KULALA VYA KULALA KIMOJA MASTER PABLICK SEBLE NA JIKO LENYE VIKABATI .
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI IPO NDANI YA FENSI PEVING SAFI KODI LAKI 5 KWA MWEZI MIEZI 6 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA KULINDA NYUMBA .
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KUTOKA BARABARA YA ZEGE DAKIKA 2 NA ZEGE IMEWEKWA HADI GETINI
###0655256419
###0741547273



















