Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
------
Vyumba 2 vya kulala hakuna master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
--------
Contact
#0676_219580(WHATSAPP)
#0693_673010
#dalali_big__kimara๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐



















