Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
😋Uionapo Hii nyumba Beba Hela tukalipie
🗯️KIMARA SUKA
📍 270,000/= *7 (Kodi Kuanzia Miezi 7)
_________
___
📌 Umbali wa dakika 10 tu Kwa Kutembea
• Vyumba 2 vya kulala Vikubwa (Haina Master)
• Sebule Kubwa
• Jiko zuri
• Public toilet ndani
* Inajitegemea UMEME na Maji
* Parking
* Ndani ya Fensi
* Paving Blocks
• Mazingira TULIVU Na Mazuri
#Upande wa kushoto kama unaenda Mbezi
______
📌 *MUHIMU SANA*
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 270,000/=
______
0753-172-516