Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







WAHI MTEJA SIO YA KUKOSA NYUMBA NZURI SANA
#HIZI NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA CHINI IKO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO Na BAFU VYA FAMILIA
#HITER MAJI MOTO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE
#PARKING KUBWA BUSTANI SAFI
LOCATION: KIMARA KOROGWE
DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 AU 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12 UTACHAGUA WEWE
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp