Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI LEO TAREHE 29/07/2025
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO KLM I.7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BAJAJI/700 UKISHUKA TU DK 5 TU UPO GETINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIMU
0712656027