Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE FENSI MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
SEBULE KUBWA
VYUMBA 2 VYA KULALA
JIKO KUBWA OPERN KITCHEN
CHOO CHAKE NI CHA NDANI AMBACHO KINA MILANGO 2 WA MASTER NA WA SEBLENI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI
LOCATION KIMARA BUCHA DK 3-4 KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347