Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HAYA SASA WALE MNAOPENDA KUKAA KARIBU NA BARABARANI DK 2 TU NYUMBA HIZI HAPA MOJA NDIO INAFANYIWA UKARABATI MAFUNDI WAPO KWENYE KASI YA 5G ZIPO NYUMBA 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA INAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 30/07/2024 MALIPO YANAPOKELEWA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#DAINING
#JIKO KUBWA
#CHOO NA BAFU VYA NDANI
#INAFUNGWA TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI INAJENGWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 2 KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAHAZARI NI 200,000 (LAKI MBILI)
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.