Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA SUKA DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
——
MPYA MPYA MPYA KIMARA SUKA APARMENT KALI SANA
KODI 400000 KWA 450000 ZIPO ZA AINA MBILI
➖➖➖➖➖➖➖
✔️VYUMBA VIWILI
✔️KIMOJA MASTER
✔️ SEBULE
✔️JIKO
✔️CHOO CHA PUBLIC NDANI
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU NA TANK LA MAJI KILA MTU LAKE
PUBLICK TOILET
UMBALI WA DK 8 KUTOKA MAIN ROAD
450000..FULL A/C
RUKSA KUAMIA MWEZ UJAO KUONA NA KULIPIA RUKSA 18.10.2025..KUINGIA AU KABLA YA INATEGEMEA NA SPEED YA MAFUNDI
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024