Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI(DSM) 🇹🇿KILOMETA. 2 KUTOKA LAMI USAFIRI UPO MWINGI WA BAJAJI TSH 700/=
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBLE KUBWA SANA MNO
#DINNING ROOM KUBWA
#PUBLIC TOILET IPO NDANI
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAJI YANA FLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO MWENYEWE
#NYUMA IPO NDANI YA FENSI
#PARKING SPACE IPO KUBWA
#MAZINGILA MAZURI SANA MNO
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TZS 250,000/="4"
CONTACT US :
WHATSAPP :0
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI