Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE IKO BARABARANI KABISA
KIMARA BUCHA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA HII HAINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA ULINZI UPO PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 3 KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NYUMBA INAKUWA WAZI TAREHE 30/07/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO RUKSA
CONTACT: 0672 673363