Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NDUGU ZANGU HII APARTMENT KALI NZURI SANA INA PANGISHWA
_________________________________________________________
MAHALI ILIPO KIMARA MWISHO DK 12 KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MABASI YA MWENDOKASI BODABODA TSH 1000
_________________________________________________________
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA PUBLIC TOILET NDANI LUKU INAJITEGEMEA
_________________________________________________________
FULL TAILS GYPSUM WINDOWS SLIDING MAJI YA DAWASCO YAPO MASAA 24 YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE PEVING BLOCK PARKING SPACE IPO KUBWA MAZINGIRA MAZURI
_________________BEI TSH {400,000}=> KWA MWEZI MOJA MALIPO MIEZI (6)
GHARAMA YA KWENDA KUONA NYUMBA TSH 20,000 UKIWA TAYALI KULIPIA NYUMBA HELA YA MWEZI MOJA YA DALALI CHARLE KIMARA
_________________________________________________________
CONTACT
CALL/WHATSAPP...O677370515
KARIBUNI KIMARA YA MWENDOKASI
NDUGU MTEJA NYUMBA HII INA PESA YA TAHADHARI YA MWEZI MMOJA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.20,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA