Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
(400,000X6) KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖
𝐍𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚 𝐊𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐲𝐚 𝐊𝐮𝐩𝐚𝐧𝐠𝐚 #𝐒𝐭𝐚𝐧𝐝_𝐀𝐥𝐨𝐧𝐞
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHO
#𝙐𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞: Kilomita 2 kutoka Main. Road, Usafiri Bajaj 500, Boda 1000. Barabara ni Nzuri Mpaka kwenye Nyumba
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• SEBULE KUBWA
• VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA MASTER
• JIKO KUBWA
• PUBLIC TOILET
Nyumba Inajitegemea yenyewe Ndani ya Fensi Parking ipo. Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 400,000 Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
Contact us:- 0764575774