Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
📣 Inapangishwa KIMARA SUKA
📍 Kodi 250,000/= ×3 (lipia hata miezi mitatu)
_
_________
• Vyumba 2 vya kulala (kimoja Master)
• Sebule
• Jiko
• Public Toilet
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji yanatoka ndani
* Fensi
* Parking Kubwa
👉 Ya chini inapangishwa ipo wazi
#Kutoka standi ya mwendo kasi km1 usafili boda 1,000 kwa mguu dk 17 mpaka Kwenye nyumba
_______
#Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
#Kupelekwa Kuona Tsh 15,000/=
______________
0753172516