Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI ZINAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MWENDO KASI NI KM 1,2
BAJAJI 700
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
HAPA ZIPO NYUMBA MBILI TOFAUTI
1)
VYUMBA VIWILI VYAKULALA SEBULE JIKO NA CHOO NI PABLIC
HAKUNA MASTER
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI. 275,000/=X6
DALALI. 275,000/
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
===
2)
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
KODI. 250,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
===
CONT
0683234124
0718367179