Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI MKONO WAKULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 12 KUTEMBEA UITAJI BODA AU BAJAJI
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTAR. INA SEBULE KUBWA INA JIKO NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NYUMBA AIPO NDANI YA FENSI USALAMA UPO WA KUTOSHA
KODI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
KUONA NYUMBA ELFU 15000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670