Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







450,000/=×6
APARTMENT KALI NZURI SANA INA PANGISHWA
KIMARA KIMARA SUKA DAKIKA 10- KWA MGUU
KODI 450,000X6
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
KIMOJA MASTER ILA KUNA PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637