Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
📣 Nyumba Ya Karibu na Barabara... Inapangishwa KIMARA KOROGWE
📍 Kodi 300,000/= ×6
_
_________
• Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo ni Master)
• Sebule
• Jiko
• Public Toilet
* Inajitegemea UMEME
* Maji yanatoka ndani
* Ndani ya Fensi zipo 4 tu
* Parking
* Madirisha ya wavu mazuri
#Umbali wa Kutembea kwa miguu Dakika 6 tu
_______
#Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
#Kupelekwa Kuona Tsh 15,000/=
______________
0753172516