Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI BARA SAFI YA ZEGE GARI YOYOTE INA FIKA (FREE WIFI)
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko la kisasa (open kitchen)
Public toilet
Full air condition
Cctv camera
Free WiFi
Electronic fence
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 700,000/=×3
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 7
-----------
Contact
📞#0676_218580(WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏