Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO 4 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 4-5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.