Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HAYA SASA IPO WAZI
KODI 300,000 × 4/5/6
Location: KIMARA SUKA
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
✅️SEBULE KUBWA SANA
✅️DINNING ROOM
✅️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO KUBWA la KISASA
✅️PUBLIC TOILET YA NDANI 🚻
✅️IPO NDANI YA FENCE
✅️PARKING SPACE KUBWA 🚘
✅️FULL PAVING BLOCKS 🚫
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
✅️UMEME LUKU YAKO
✅️MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS METER YAKO
SERVICE CHARGE 15,000 /=
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA ☎️
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp