Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(250,000X6)KIMARA KOROGWE 2.3KM BAJAJI 500
➖➖➖➖➖➖➖➖
✔️VYUMBA VIWILI
✔️KIMOJA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
✔️CHOO CHA PUBLIC NJE
✔️HAKUNA PARKING
KODI 250,000 × 6
UKILIPIA UNAMPA DALALI MWEZI MMOJA
NDANI YA UZIO NUSU ... NO PARKING NA GARI HAIFIKI HADI NYUMBANI...
PAZURI SAAAANAAAAA....
LUKU YAKO NA MAJI YAKO ...
SERVICE CHARGE 15K
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453