Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(350,000X3)KIMARA TEMBONI 2KM BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
CHOO CHA PUBLIC NDANI
NDANI YA FENCE
➖➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA NDANI
WATER STORAGE TANK
PARKING
➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 20
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
.
KODI 350,000X3,4,5,6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU
➖➖➖➖➖➖
#CONTACT
0716223412
0618976024