Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA NA HII MOJA NDIYO IPO WAZI KIMARA STOP OVER DK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI
LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW
NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA.
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 500,000/=×6