Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI MPYAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE NDUGU MTEJA
ZIPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM. 2
BODA 1000/=
====
ZIPO NNE KWENYE FENSI MOJA
A).
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
======
KODI. 350,000/=X6
DALALI 350,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/=
======
B)
CHUMBA KIKUBWA SANA CHOO NDANI NA JIKO NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI. 180,000/=X6
BEBA HELA USIIKOSE HII
#0785889413