Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
KODI 250,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 1 AU BODA 1000
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET
JIKO MAKABATI YA JUU NA CHINI
INA MAFENI
IPO NDANI YA FENSI ENEO NI KUBWA HATA UKITAKA KUFUGA
TAILS GYPSUM MADILISHA YA KIOO
MAJI YANAFLOW NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA SIMU 0659336751 WSP 0786085637