Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*ZIKO 3 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 300,000/= KWA MWEZI
_____________________________
NB:HII NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 1/11/2024..,KUONA NA KULIPIA LUKSA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP:
*CALL:
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________
0713320608
0686334182