Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri location kimara korongwe km 2 usafiri bajaji na daladala
Kodi 450000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000.kuona nyumba
Room 2 moja ni Master bedroom
Sitting room
Kitchen
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Paving block
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128